
Mpina amshukuru Samia kumwondoa Makamba Nishati
Dodoma. Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumwondoa aliyekuwa Waziri wa Nishati, January Makamba na kuibadilisha Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Mpina ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 25, 2024 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2024/25. Amempongeza Naibu…