
MTANANA SASA SHWARI MAGARI YAANZA KUPITA, MADEREVA WAISHUKURU SERIKALI
::::::: Dodoma 24 Agosti, 2025 Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imekamilisha ujenzi wa mradi wa kunyanyua tuta katika bonde la mafuriko la Mtanana na kuifungua barabara hiyo kutumika rasmi. Akizungumza wakati wa kufungua barabara hiyo leo tarehe 24 Agosti, 2025, Kaimu Meneja wa TANROADS mkoa wa Dodoma, Mhandisi Elisony Mweladzi amesema…