Zaidi ya wanafunzi 100 wamekamatwa huko California, kwenye maandamano ya kupinga vita vya Israel

Polisi nchini Marekani wamewakamata makumi ya waandamanaji katika Chuo Kikuu cha Texas huko Austin (UT Austin) na Chuo Kikuu cha Kusini mwa California (USC) huku maandamano yanayoongozwa na wanafunzi kupinga vita vya Israel dhidi ya Gaza yakizidi kushika kasi nchini kote na Spika wa Bunge Mike Johnson alipendekeza. kuitana Jeshi la Ulinzi la Taifa. Kukamatwa…

Read More

NBC yakabidhi vitanda Shule ya Polisi Moshi

Benki ya NBC imekabidhi msaada wa vitanda 28 kwa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) iliyopo Moshi mkoani Kilimanjaro ikilenga kuboresha mazingira ya maladhi kwa wanafunzi wa kike shuleni hapo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Hafla fupi ya makabidhiano ya vitanda hivyo iliyofanyika jana Jumatano shuleni hapo ambapo ilishuhudiwa Meneja wa wa benki ya NBC tawi…

Read More

Mafuriko yasababisha vifo vya zaidi ya watu kumi Nairobi – DW – 25.04.2024

Serikali imeunda kikosi cha dharura kushughulikia janga hilo.Wakati huohuo, idara ya polisi imeendelea na juhudi za uokozi kwa ambao nyumba zao zimefunikwa na maji.  Kulingana na idara ya polisi, miili ya watu wasipungua 13 imepatikana maeneo tofauti tofauti ya mji  Nairobi  kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha. 11 imetokea eneo la Mathare, moja Kibera na nyengine mtaani…

Read More

Waliokumbwa maporomoko ya tope Mlima Kawetere watoka kambini

Mbeya. Wakati Serikali ikiendelea kuratibu makazi ya waathiriwa wa maporomoko ya tope linalotoka Mlima Kawetere jijini hapa, waathiriwa hao wameondoka kwenye kambi ya muda katika Shule ya Msingi Tambukareli walikokuwa wamewekwa. Maporomoko hayo yaliyotokea alfajiri ya Aprili 14 mwaka huu katika Kata ya Itezi jijini Mbeya na kusababisha nyumba zaidi ya 20 na Shule ya…

Read More

Kwenye soka pele, ngumi kuna ali, kriketi yupo

Garfield (Gary) Sobers. Moja ya majina makubwa sana katika Kisiwa cha Barbados ikiwa ni zaidi ya miaka 40 anaimbwa na kila mtu. Ameitangaza vyema nchi yake na kuipa heshima kubwa kimataifa akiwa mchezaji wa kriketi maarufu miaka ya 1980. Sober ni jina lililoingia kwenye ukurasa maalumu wa miamba ya mchezo huo duniani waliofanya mambo ambayo…

Read More

Mkakati mkubwa wa teknolojia ya kifedha, kuimarisha uwezo wa biashara za wasambazaji wa ndani na wajasiriamali wazinduliwa

Katika mkakati unaolenga kuleta mabadiliko kwenye sekta ya biashara, na kuendeleza upatikanaji wa huduma za kifedha nchini Tanzania kwa ufanisi zaidi benki ya Stanbic Tanzania inashirikiana na Ramani, kampuni namba moja kwenye teknolojia ya kifedha, malengo yakiwa kutumia teknolojia na msaada kubwa ya kifedha, kuimarisha uwezo wa biashara za wasambazaji wa ndani na wajasiriamali. Muunganiko…

Read More

Exim Bank yatoa  vitanda kwa shule ya Jeshi la Polisi Moshi

  BENKI ya Exim imekabidhii  seti ya vitanda kwa Shule ya Jeshi la Polisi Tanzania iliyopo Moshi, mkoani Kilimanjaro kama sehemu ya mchango wa Exim Bank katika jamii ikiwemo ulinzi na usalama wa Watanzania na mali zao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … (endelea). Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Mkuu wa Kitengo cha Masoko, Stanley Kafu…

Read More

Mbunge alalama uwezo mdogo wa transifoma

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Jesca Kishoa ameitaka Serikali kufunga transifoma zenye ukubwa wa kilovoti 200 hadi 315 ili kukidhi mahitaji ya kuendesha viwanda jimboni Mkalama, mkoani Singida. Amesema hayo leo Alhamisi Aprili 25, 2024 bungeni Dodoma alipouliza swali la nyongeza kuhusu uwezo mdogo wa transifoma zilizoko jimboni humo zenye ukubwa wa kilovoti 50…

Read More