Wataalamu wa usafiri kujadili fursa mpya za biashara, uchumi

Unguja. Watunga sera na wataalamu wa usafiri na usafirishaji kutoka mabara manne wanakutana Zanzibar katika Mkutano wa Kimataifa wa Shirikisho la Vyama vya Mawakala wa Ushuru na Forodha Afrika Mashariki na Kati (Fiata Rame) kujadili fursa na changamoto za sekta hiyo. Wataalamu wengine watakaoshiriki ni wa uwezeshaji biashara, mamlaka za udhibiti, mamlaka za bandari, wasafirishaji…

Read More

Ngao ya Jamii 2024, makipa ndio wataamua

MECHI za msimu huu za Ngao ya Jamii zina msisimko wake kwani timu hizo zinakutana zikiwa na sura mpya, lakini cha kuzingatia ni kwamba zote zinaongozwa na makipa wa kigeni, hivyo wao ndio watakaoamua timu zao ziende fainali ama kucheza mechi za mshindi wa tatu kutokana na rekodi zao. Endelea nayo… Hakuna shaka juu ya…

Read More

Boni Yai adaiwa kukamatwa na Polisi, wenyewe wakana

Dar es Salaam. Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikisema kada wake aliyekuwa meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’ amekamatwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, Mtatiro Kitwinkwi amesema hana taarifa. Akizungumza na Mwananchi Kamanda Kitwinkwi kuhusu sakata hilo amesema: “Hapana, sina taarifa.”…

Read More

Wanne wafariki dunia , 30 wajeruhiwa shambulio Ukraine

Kyiv. Shambulio limefanywa na Jeshi la Russia nchini Ukraine, limeuwa watu wanne wakiwemo watoto wawili na kujeruhi wengine 30. Shambulio kubwa la pamoja likihusisha ndege zisizo na rubani (drone) na makombora limetokea leo, Alhamisi ya Agosti 28, 2025, katika jiji la Kyiv. Shambulio hilo linatajwa kuwa la kwanza kubwa la aina hiyo tangu Rais wa…

Read More

Dada wa kazi apewe maua yake

Dar es Salaam. Dokta Remmy Ongala aliwahi kuimba wimbo wa kuwasifu madereva wote wa Tanzania. Katika maneno yake, wimbo uliwataja madereva wa Serikali, wa mashirika ya umma, Idara, Wizara na pia madereva wa makampuni. Humo kuna madereva wa usafiri wa umma kama UDA na KAMATA. Ingelikuwa wimbo huo umetungwa hivi karibuni kwa ninavyomjua Remmy, asingekosa…

Read More

Fumbo wabunge 19 watakavyorudi bungeni

Dodoma. Hatima ya kurudi bungeni kwa wabunge 19 wa viti maalumu wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wenye mgogoro na chama chao sasa kujulikana kuanzia Juni 28, 2025. Wabunge hao akiwemo Halima Mdee wanahitimisha uhai wa Bunge hilo wakiacha historia ya aina yake hususan mvutano baina yao na Chadema. Mwaka 2020, baada ya…

Read More