
Freddy namba zinambeba Simba | Mwanaspoti
SIMBA baada ya kuchapwa mabao 2-1 na watani wao wa jadi Yanga kwenye mechi ya ligi wikiendi iliyopita, jana ilikuwa uwanjani Zanzibar kwaajili ya michuano ya Kombe la Muungano lililorejea baada ya miaka 20, ila kubwa zaidi ni namna mshambuliaji wake Freddy Michael anavyojitofautisha na wachezaji washambuliaji wengine wa kikosi hicho. Pamoja na kuwa Simba…