Msimamizi wanafunzi Mirerani adaiwa kujinyonga shuleni kwa kamba

Mirerani. Msimamizi wa Shule ya Awali na Msingi New Vision,  mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro Mkoa wa Manyara, amedaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya manila. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP), George Katabazi akizungumza leo Jumanne Julai 16 2024 amemtaja msimamizi huyo kuwa ni Paulo Essau (32) mkazi wa Kitongoji cha…

Read More

Wadau wasisitiza ushirikiano kuchochea maendeleo endelevu

Dar es Salaam. Wadau wa maendeleo nchini wameeleza umuhimu wa ushirikiano miongoni mwao ili kuhakikisha maisha ya Watanzania yanakuwa bora na stahimilivu kupitia teknolojia na sera wezeshi. Wadau wamebainisha hayo leo Agosti 14, 2025 kwenye mjadala ulioandaliwa na Kampuni ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na ya Mwananchi Communications Limited (MCL) kuhusu umuhimu wa ushirikiano wa…

Read More

Uzalishaji magari ya umeme Uganda mchongo kwa Tanzania

Uganda.  Wakati Uganda ikifungua kiwanda kutengeneza magari ya umeme, wadau wameeleza kuwa hatua hiyo ni fursa kwa nchi jirani ikiwemo Tanzania kupunguza matumizi ya fedha za kigeni zinazotumika kuagiza mafuta kila mara. Kiwanda hicho kwa kwanza Afrika kuzalisha magari ya umeme, Kiira Motors Coorporation (KMC), kinatarajiwa kuzalisha magari 5,000 kwa mwaka yatakayohusisha magari mabasi madogo…

Read More

Rais Ruto aibua mpya maandamano ya Gen Z

Nairobi. Rais wa Kenya, William Ruto amesema maandamano ya amani ya Generation Z yaliingiliwa na wahalifu, akisisitiza Serikali itazingatia mamlaka yake ya kikatiba ya kulinda Taifa kutokana na vitendo hivyo. Amesema tukio la vurugu katika maandamano ya leo Juni 25, 2024 linatoa somo la namna ya kukabiliana na vitisho vya usalama wa Taifa. “Ninawahakikishia Wakenya…

Read More

Israel yazidi kushambulia Iran, Trump ataka ijisalimishe

Dar es Salaam. Maelfu ya watu wameanza kukimbia kutoka Tehran na miji mingine mikuu nchini Iran, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya nchi hiyo. Hatua hiyo inakuja wakati Iran na Israel zikiendelea kushambuliana kwa makombora licha ya Rais wa Marekani, Donald Trump kuitaka Iran ijisalimishe bila masharti. Jeshi la Israel limeripoti kwamba mafungu mawili…

Read More

Je! Idadi ya Wahindu wa Bangladesh inashambuliwa kwa Kiwango Gani? – Masuala ya Ulimwenguni

Idadi kubwa ya Wahindu wa Bangladeshi waliandamana kutaka kutambuliwa na kulindwa huku vurugu zikiongezeka nchini Bangladesh mnamo Julai 2024. na Mwandishi wa IPS (umoja wa mataifa) Jumatano, Desemba 11, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Des 11 (IPS) – Bangladesh imekuwa katikati ya mzozo wa kisiasa unaozidi kuongezeka na mgawanyiko mkubwa wa kijamii tangu…

Read More

Fisi waua kondoo 17 Itilima, wazua hofu kijijini

Itilima. Hofu imetanda kwa wakazi wa Kijiji cha Gambasingu baada ya fisi wanne kuvamia zizi la kondoo na kuua kondoo 17 huku wengine watano wakijeruhiwa katika shambulio la usiku wa kuamkia leo Agosti 21, 2025. Shambulio hilo lilitokea saa 6 usiku katika Kitongoji cha Mwabasambo A na limeelezwa na wenyeji kuwa ni tukio la kihistoria kutokana…

Read More

Mbunge ahoji uholela usajili laini za simu, Serikali yamjibu

Dodoma. Serikali ya Tanzania imezungumzia suala la utapeli mitandaoni kwamba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inaendelea kudhibiti usajili wa laini za simu kwa umakini mkubwa. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Septemba 2, 2024 na Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Makete (CCM),…

Read More