
Arajiga apewa fainali Ngao ya Jamii, Kayoko Simba vs Coastal
MWAMUZI Ahmed Arajiga kutoka Manyara, ameteuliwa kuchezesha fainali ya Ngao ya jamii kati ya Yanga dhidi ya Azam utakaopigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 1:00 usiku. Yanga imepata tiketi hiyo baada ya kuwaondoa Simba kwa kuichapa bao 1-0, huku Azam wakishinda 5-2 dhidi ya Coastal Union. Arajiga…