Tuzo lingine la Uchumi wa Taasisi ya Anglocentric Neoliberal – Masuala ya Ulimwenguni

Maoni by Jomo Kwame Sundaram (kuala lumpur, Malaysia) Jumanne, Oktoba 22, 2024 Inter Press Service KUALA LUMPUR, Malaysia, Oktoba 22 (IPS) – Uchumi mpya wa kitaasisi (NIE) umepokea nyingine kinachojulikana kama Tuzo ya Nobeleti kwa kudai tena kuwa taasisi nzuri na za kidemokrasia utawala kuhakikisha ukuaji, maendeleo, usawa na demokrasia. Jomo Kwame SundaramDaron Acemoglu, Simon…

Read More

UONGOZI MPYA TEF 2025 – 2029

 ****** Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),limekamilisha safu ya uongozi wa Kamati ya Utendaji (KUT),baada ya wagombea 12 kuchaguliwa na kubakia saba. Mapema mchana wajumbe wa mkutano huo 153 walitangaziwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi,Frank Sanga ambaye aliwatangaza Mwenyekiti Deodatus Balile na Makamu wake,Bakari Machumu baada ya kuwa wagombea pekee wa nafasi hizo. Hatua hiyo…

Read More

Pamba Jiji yatuma ujumbe kwa waamuzi Ligi Kuu

Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha matokeo yanayozifurahisha baadhi ya timu na kuziumiza nyingine. Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya timu hiyo kunyimwa bao lililofungwa na Salehe Masoud kwenye mchezo dhidi ya Azam FC uliopigwa Februari 9, mwaka huu, kwenye…

Read More

REA KUSAMBAZA MITUNGI YA GESI 19,530 MKOANI SINGIDA

*📌Wananchi 3,255 kila wilaya ya mkoa huo kunufaika* Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA); kuanzia tarehe 20 Januari, 2025 itaanza kusambaza mitungi ya gesi ya kilo 6 mkoani Singida ili kusaidia Wananchi kutumia nishati hiyo kwa ajili ya kupikia. Hayo yamesemwa leo, tarehe 22 Desemba, 2024 na Mkuu…

Read More

Makombe matatu yawagawa mabosi Yanga

ULILIONA vaibu la Yanga juzi kuanzia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere pale Dar? Je unajua lile vaibu lilitokana na nini? Kina nani walioteka ile shoo? Sikia, achana na mambo mengine yooote yaliyokuwa yakiendelea, lakini kwa mashabiki wa timu hiyo ilikuwa ni zaidi na sherehe na wachezaji wao kutokana na kufanikiwa kubeba makombe…

Read More

WAZIRI ULEGA ATETA NA MAKAMU WA RAIS

      Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ambaye ni Mlezi wa CCM Mkoa wa Pwani akijadiliana jambo jambo na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega katika Harambee ya kuchangia Ujenzi wa Jengo la…

Read More

Utapenda wadau wanavyojadili matumizi ya intaneti, faida zake kemkem

Dar es Salaam.  Wadau wa masuala ya teknolojia nchini Tanzania wamesema intaneti ina nafasi kubwa katika kuchochea maendeleo ya nchi, hivyo mamlaka zinazohusika zina wajibu wa kuhakikisha huduma hiyo inaboreshwa ili kumnufaisha kila mtu kwenye jamii. Kutokana na fursa nyingi zinazopatikana kupitia mtandao huo, wadau hao wamesema ni nadra kwa mtu yeyote anayehitaji maendeleo kutoutumia…

Read More

Watoto 1,500 wenye matatizo ya moyo wasubiri msaada

* Kikwete kuongoza harambee matibabu yao mwezi ujao Mwandishi Wetu RAIS mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, anatarajiwa kuongoza harambee ya kuchangia matibabu ya watoto 1,500 wanaougua magonjwa mbalimbali ya moyo ili wapate matibabu kwenye Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam na Naibu Spika…

Read More