
Devotha aahidi ubwabwa kwa wote Chaumma ikiingia Ikulu
Morogoro. Katika harakati za kushawishi wadhamini kwa mtiania wa urais wa Tanzania wa Chaumma, Salum Mwalimu, mtiania mwenza wake, Devotha Minja ameahidi kuboresha lishe nchini. Makamu huyo wa Mwenyekiti wa Chaumma Taifa, Hashim Rungwe upande wa Bara, amesema msimamo wa chama hicho ni kuwa na taifa la watu wanaoshiba kikiongoza Serikali. “Ndugu zangu kwa kutumia…