Araqchi: Trump amesaliti diplomasia na watu wa Marekani

Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amesema kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ameisaliti diplomasia na watu wa Marekani waliompigia kura akisisitiza kuwa: Wakati uongo mkubwa unapopotosha ukweli wa mambo, maratajio yasiyo ya kweli katu hayawezi kutimizwa. Sayyid Abbas Araqchi ameyasema hayo katika ujumbe uliotumwa kwenye mtandao wa kijamii wa X. Ameashiria…

Read More

Huduma mkoba yatua Songwe | Mwananchi

Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Omari Makame amewapokea madaktari bingwa 30 wa Rais Samia watakaotoa huduma za matibabu kwenye hospitali tano za halmashauri za mkoa. Huduma zitakazotolewa ni pamoja na matibabu ya magonjwa njia ya uzazi na watoto, huduma za upasuaji wa kibobezi, utoaji wa dawa za usingizi, tiba ya magonjwa ya kawaida,…

Read More

DKT. SAMIA AONGOZA UTEUZI CCM

 ::::::: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani akiongoza kikao cha Halmashuri Kuu ya CCM Taifa, ambacho kinafanya uteuzi wa mwisho wa majina ya Wanachama waliyoomba nafasi za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Jimbo na Viti Maalum leo Jumamosi Agosti 23,2025 mkoani Dodoma.

Read More

Rehema: Ujane si hukumu, napambana kutunza wanangu

Mbeya. Alfajiri ya Nonde jijini Mbeya, huanza kwa sauti ya mafuta yanayochemka kwenye karai jeusi. Mwanga hafifu wa jiko la mkaa humulika uso wa Rehema Mwanjonde (30) huku mikono yake ikichanganya unga kwa ustadi. Kabla ya jogoo kuwika mara ya pili, maandazi ya kwanza huwa tayari yameiva, ya moto, yenye harufu inayochochea hamu ya mteja…

Read More

Jinsi unyanyapaa unadhoofisha utumiaji wa uzazi wa mpango kati ya wanawake nchini Sierra Leone – Maswala ya Ulimwenguni

Marie Kamara anasema juu ya athari za unyanyapaa kwa wanawake, haswa watu wenye ulemavu, wanapojaribu kupata uzazi wa mpango. Mikopo: Madina Kula Sheriff/IPS na Madina Kula Sheriff (Freetown) Jumatatu, Septemba 22, 2025 Huduma ya waandishi wa habari FREETOWN, Septemba 22 (IPS) – Eunice Dumbuya, mwanaharakati mchanga huko Freetown, Sierra Leone, bado anakumbuka akiitwa ujinga baada…

Read More

Dk Nchimbi alivyomaliza mvutano wa Matiko, Kembaki

Rorya/Tarime. Mvutano wa kisiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Tarime Mjini limechukua sura mpya baada ya mgombea mwenza wa urais wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi kuumaliza  kwa kumteua, Michael Kembaki kuwa kampeni meneja wa Esther Matiko. Kembaki alikuwa mbunge wa jimbo hilo (2020-2025), katika kura za maoni mwaka huu aliongoza, lakini…

Read More