
THTU YATAKA HATUA KALI WANAOHUJUMU NHIF,YAIPA SERIKALI ANGALIZO KUHUSU KIKOKOTOO
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU), Dkt. Paul Loisulie,akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Uchambuzi na Mapendekezo ya hoja za NHIF na Pensheni nchini Tanzania. Na Mwandishi Wetu KUELEKEA Bima ya Afya kwa Wote Chama Cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu (THTU) imeshauri serikali kuendelea…