Tupunguze matumizi ya pombe isiyozimuliwa ili kukabiliana na magonjwa yasiyoambukiza

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema kuwa iwapo jamii itapunguza matumizi ya pombe isiyo zimuliwa yaliyokithiri itasaidia kukabiliana na kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza. Waziri Ummy amesema hayo Aprili 23, 2024 Jijini Dar Es Salaam wakati akifungua na kuhutubia Mkutano unaojadili namna ya kukabiliana na Magonjwa Yasiyoambukiza Barani Afrika, ambapo amesema kiwango cha Matumizi ya…

Read More

Mastaa sita Simba wanavyoibeba Yanga

WAKATI mashabiki wa Simba wakiendelea kulia na mastaa wa kikosi chao baada ya timu yao kukosa matokeo mazuri lakini upande wa pili umefichua juu ya sajili sita nzito za wekundu hao zinazowabeba watani wao Yanga. Ndani ya kikosi cha Yanga kuna mastaa sita ambao waliwahi kutajwa kutakiwa na Simba lakini ghafla watani wao wakajibebea kiulaini…

Read More

SERIKALI KUIMARISHA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

📌 Majiko banifu kusambazwa Kaya za Vijiji na Vijiji-Miji 📌 Wazalishaji wa mkaa mbadala kupewa ruzuku Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa katika mwaka 2024/25 Serikali itaendelea kutekeleza hatua madhubuti za kuimarisha matumizi ya Nishati Safi ya kupikia nchini. Amesema hayo leo Aprili 24, 2024 bungeni jijini Dodoma…

Read More

WATATU WAKAMATWA WAKISAFIRISHA ZAIDI YA KILO 420 ZA DAWA ZA KULEVYA.

WATU  watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kibaha Mkoani Pwani wakikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya Methemphetamine zenye uzito wa Kilogramu 424.84 pamoja na Heroin Hydrochloride gramu 158.24 Katika hati ya mashtaka iliyosomwa mahakamani hapo na wakili wa serikali Agness Ndanzi imewataja washtakiwa hao kuwa ni Rajabu Kisambwanda (42) mkazi…

Read More