Umoja wa Mataifa, mashirika yasiyo ya kiserikali yatoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa wafanyikazi waliozuiliwa nchini Yemen – Masuala ya Ulimwenguni

Katika a taarifa ya pamoja,, Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa Yemenwakuu wa UNDP, UNESCO, UNICEF, WFP, WHO na OHCHRna wakuu wa INGOs OXFAM International, Save the Children International na CARE International, walionyesha wasiwasi wao mkubwa juu ya hali hiyo. “Wakati ambao tulikuwa na matumaini ya kuachiliwa kwa wenzetu, tumesikitishwa sana…

Read More

29 wa kigeni wakoleza utamu BDL

USHINDANI na uwepo wa nyota wa kigeni katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), umeifanya izidi kuimarika na kuwa moja ya zinazoongoza kwa ubora Ukanda wa Afrika Mashariki. Idadi ya nyota hao imekuwa ikiongezeka na wamesajiliwa katika timu mbalimbali zinazoshiriki ligi hiyo na waliopo hadi sasa ni 29. Wachezaji hao wanatoka katika…

Read More

Mbili zapanda Ligi Kuu Zenji, Zimamoto yaua

WAKATI maafande wa KVZ na Zimamoto wakifanya mauaji katika mechi za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) iliyopo ukingoni, timu za Muembe Makumbi na Inter Zanzibar zimekuwa za kwanza kupanda ligi hiyo kwa msimu ujao wa 2024-2025. Muembe Makumbi ilikata tiketi ya kucheza Ligi Kuu kwa msimu ujao baada ya juzi kuifumua New King kwa mabao 2-0…

Read More

Huu ndio uwanja mpya wa Singida BS

KLABU ya Singida Black Stars leo, Jumatatu imeandika historia mpya kwa kuzindua rasmi uwanja wake wa nyumbani hapa Mtipa unaotajwa kuwa wa kisasa zaidi katika mkoa wa Singida. Uzinduzi huu umepambwa na mchezo wa kirafiki kati ya wenyeji, Singida Black Stars, na mabingwa wa kihistoria wa Tanzania, Yanga. HUU NDIO UWANJA MPYA WA SINGIDA BLACK…

Read More

Jaji Mihayo afunguka mapya matukio ya utekaji, mauaji

Dar es Salaam. Wakati wadau wakitaka kuundwa tume ya kijaji kuchunguza matukio ya utekaji na mauaji, Jaji mstaafu Thomas Mihayo ameshauri iwepo Mahakama Maalumu ya Uchunguzi wa vifo vyote vyenye utata nchini. Hoja hizo zimetolewa kutokana na matukio yanayojitokeza nchini ya watu kutekwa na kuuawa, likiwamo la aliyekuwa kada wa Chadema, Ally Kibao. Kwa mujibu…

Read More