
WAZIRI MAVUNDE ATAKA KILA MMOJA KUFUATILIA HADHI YA MAOMBI AU LESENI ZAKE
Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde,akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili 24,2024 jijini Dodoma. …………… Waziri wa Madini, Mhe.Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume ya Madini imefuta jumla ya maombi ya leseni 227 ambayo yamekosa vigezo vya kuendelea kufanyiwa kazi. Ameyasema hayo leo tarehe 24 Aprili, 2024 Jijini Dodoma alipokuwa akizungumza katika mkutano na…