Kampeni ya chanjo ya polio ya Gaza inapamba moto – Masuala ya Ulimwenguni

Gaza: Timu za afya zinashambuliwa Kampeni ya chanjo ya polio kaskazini mwa Gaza ilianza Jumamosi na imepangwa kuendelea hadi Jumatatu, na mashirika ya Umoja wa Mataifa na washirika wakienea katika eneo la kaskazini lililoharibiwa wakati wa mapumziko ya kibinadamu yaliyokubaliwa ili kuhakikisha usalama kwa raia na wafanyakazi wa misaada. Lengo ni kuwafikia watoto zaidi ya…

Read More

RAIS MWINYI ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar. Chuo Kikuu cha Zanzibar kimemtunuku Shahada hiyo ikiwa ni kutambua na kuthamini Mchango wa Uongozi wake Unaoacha Alama na historia itakayokumbukwa wakati wote. Hafla ya kutunukiwa Shahada hiyo imefanyika leo tarehe…

Read More

JKT yanusa ubingwa BDL | Mwanaspoti

FAINALI ya tatu ya Ligi ya kikapu Dar es Salaam (BDL) ilipigwa juzi Jumatatu kati ya JKT dhidi ya UDSM Outsiders ikibakiza mchezo mmoja tu kumjua bingwa wa mwaka 2024. Katika mchezo huo ambao JKT ilishinda pointi 67-62 na kubakiza ushindi mmoja ili itangazwe bingwa, inailazimu pia UDSM kushinda ili kusubiri mchezo wa tano na…

Read More

Coastal yashtuka, yasimamisha usajili | Mwanaspoti

WAKATI klabu nyingine zikiendelea kuchangamkia mchakato wa usajili, Coastal Union imeshtukia kitu, imeamua kwanza kuanza na msako wa kocha kabla ya kuanza kushusha mastaa wapya. Wagosi hao walimaliza msimu katika nafasi ya nane kwa kukusanya pointi 35, wakishinda mechi nane, sare 11 na kupoteza 11. Taarifa za ndani ya klabu hiyo zililiambia Mwanaspoti kuwa, bado…

Read More

Simba kuna sapraizi | Mwanaspoti

UKIWEKA kando kile kilichotokea usiku wa jana pale kwenye Dimba la Obed Itani Chilume lililopo Francistown, Botswana, Simba imewaandalia sapraizi mashabiki wake jijini Dar es Salaam ikiwa ni kuwafuta machozi baada ya kupigwa katika Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga. Sapraizi hiyo ni katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali…

Read More

Vodacom yapewa tuzo kwa Kujitolea katika Sekta ya TEHAMA.

Mkuu wa Idara ya Mkakati wa TEHAMA na Uhandisi wa Programu wa Vodacom Tanzania PLC Cleopatra Mukangara (kushoto), akipokea tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Ukaguzi na Udhibiti wa Mifumo ya Taarifa (ISACA) Abdulrahman Hussein (kulia) kwa Kujitolea na Kuchangia Ukuaji wa ISACA Tanzania Chapter (Usalama wa Mtandao, Ukaguzi na Hatari) mwishoni mwa…

Read More

Usafiri wa bodaboda kupangiwa bei elekezi Zanzibar

Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imetangaza kuwa iko katika hatua za mwisho za kuandaa viwango maalumu vya nauli kwa waendesha bodaboda, ili kuondoa changamoto ya kila mmoja kuweka bei anayoitaka, hivyo kuwaumiza wananchi wanaotegemea usafiri huo. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Nadir Abdulatif Yussuf, leo Alhamisi, Mei 15,…

Read More

VIDEO: Moto wateketeza nyumba ya vyumba 12 Moshi

Moshi. Moto  ambao chanzo chake bado hakijajulikana, umeteketeza nyumba ya biashara yenye vyumba zaidi ya 12, baa na jiko. Nyumba hiyo ambayo ipo katikati ya Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, ilianza kuwaka moto saa 10 alfajiri ya kuamkia leo Ijumaa Mei 17, 2024. Hata hivyo, baadhi ya mashuhuda wameiambia Mwananchi Digital kuwa moto huo ungeweza…

Read More