
MISAADA MBALIMBALI YAWAFIKIA WANAWAKE WALIOJIFUNGUA NA WATOTO KATIKA KAMBI ZA WAHANGA WA MAFURIKO RUFIJI
Na Mwamvua Mwinyi,Rufiji April 23 Patrick Golwike (Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum [WMJJWM]) ameridhishwa na misaada inayoelekezwa na huduma zinazoelekezwa kwa akinamama waliojifungua na watoto waliokumbwa na maafa ya mafuriko Rufiji na Kibiti mkoani Pwani. Aidha amepongeza mkoa,maofisa ustawi wa jamii kata,wilaya na…