Che Malone mlangoni Simba | Mwanaspoti

Licha ya Simba kushindwa kufikia malengo ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa nne mfululizo timu mbalimbali zinaendelea kupishana kuwania saini za baadhi ya nyota wa klabu hiyo ya Msimbazi. Che Malone, alitua Msimbazi misimu miwili iliyopita akitokea Coton Sport ya Cameroon na kutengeneza ukuta mgumu sambamba na Henock Inonga aliyetimka klabuni…

Read More

Ramaphosa katika mtanziko Afrika Kusini

Katika Uchaguzi Mkuu wa Mei 29, 2024 nchini Afrika Kusini, chama tawala cha African National Congress (ANC) kilikabiliwa na changamoto kubwa zaidi kuwahi kutokea tangu kumalizika kwa utawala wa ubaguzi wa rangi. Matokeo ya uchaguzi huo yalionyesha kuporomoka kwa umaarufu wa ANC, hivyo kukosa wingi wa kura unaohitajika kuunda serikali peke yake. Hali hii imekilazimu…

Read More

WATANZANIA WAHIMIZWA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSOMA VITABU

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Sayansi na Elimu ya Juu, Prof. Daniel Mushi, ametoa wito kwa Watanzania kujenga utamaduni wa kujisomea vitabu ili kuibua fursa za kimaendeleo na kuacha tabia ya kutumia vitabu kama sehemu salama ya kuhifadhia fedha. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa vitabu viwili vilivyoandikwa na wataalamu…

Read More

Inapokanzwa Ulimwenguni Katika Mahali baridi zaidi Duniani – Maswala ya Ulimwenguni

Mfano wa multilateralism, Antarctica inafungwa na makubaliano ya Antarctic yenye mataifa 57 yaliyowekwa kwa amani na sayansi. Pia ni hifadhi kubwa ya maji safi kwenye sayari yetu. Antarctica haina mji mkuu kwa sababu ni bara, sio nchi. Mikopo: UNDP/Raja Venkatapathy Maoni na Raja Venkatapathy Mani (Antarctica) Jumatatu, Februari 24, 2025 Huduma ya waandishi wa habari…

Read More

Russia yalipiza kisasi kwa Ukraine

Wiki moja baada ya jeshi la Ukraine kuingia katika mipaka ya nchi ya Russia na kushambulia baadhi ya maeneo ya nchi hiyo, kibao sasa kimegeuka. Taarifa zinasema kuwa Russia nayo imejibu mashambulizi kwa kuvurumisha makombora nchini Ukraine, ikitumia ndege zisizo na rubani zilizolenga makazi ya watu na kusababisha vifo vya raia takriban wanne na kuharibu…

Read More

UAMUZI TCRA KUFUNGIA MAUDHUI MITANDAO MCL WAISHTUA TEF

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF) limeshtushwa na taarifa za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kusitisha kwa siku 30 leseni za huduma za maudhui mtandaoni za kampuni ya Mwananchi Communications Limited (The Citizen, Mwananchi Digital, Mwananchi na MwanaSpoti) kutoa huduma za maudhui mtandaoni nchini. Taarifa iliyotolewa Oktoba 2, 2024 na Mkurugenzi mkuu wa TCRA, Dkt. Jabiri…

Read More