
Bolly Collins bondia aliyepofuka kwa ngumi, akaamua kujiua
ILIKUWA Juni 16, 1983 katika ukumbi wa Madison Square Garden jijini New York, Marekani, Billy Collins Jr akiwa na baba yake aliyekuwa bondia wa zamani, Collins Sr walikuwa ukumbini tayari kwa ajili ya pambano la utangulizi kabla ya miamba Roberto Duran na Davey Moore kuzichapa. New Content Item (1) Wakati anaingia katika pambano hilo Collis…