
Sakata la sukari lamuibua Kingu, ataka wananchi walindwe
Dodoma. Mbunge wa Singida Magharibi (CCM), Elibariki Kingu amewakemea vikali baadhi ya watu wenye maslahi yao binafsi kutaka kukwamisha mpango wa Serikali wa kutaka kuwalinda watumiaji wa mwisho wa bidhaa ya sukari. Kingu ameyasema hayo bungeni leo Alhamisi Juni 20, 2024 alipokuwa akichangia mjadala wa bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/2025 ya Sh49 trilioni. Amesema…