
HAKI ELIMU : BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 IZINGATIE DIRA YA TAIFA 2050
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TAASISI ya HakiElimu imependekeza kwa Serikali kupitia Wizara ya Elimu kutenga Bajeti mahususi kwaajili ya kuhuisha mpango wa tatu wa Maendeleo ya Sekta ya elimu au kuandaa mpango wa nne wa Maendeleo ya Sekta ya elimu katika mwaka wa fedha mpya kwenye sera na Mtaala husika. Akizungumza na waandishi wa…