
Makato kodi ya majengo yazua taharuki
Dar es Salaam. Mwaka mpya wa fedha wa 2024/25 ukianza, wananchi wamelalamika kuongezeka makato ya kodi ya majengo kuanzia Julai Mosi 2024. Hata hivyo, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema ongezeko hilo ni malipo ya deni walilopaswa kukatwa Julai, 2023. Kwa mujibu wa shirika hilo, kodi ya jengo kwa nyumba za kawaida imesalia Sh1,500 kwa…