
Wakala wa ugani, maabara kupaisha kilimo
Dodoma/Dar. Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kuanzishwa wakala wa huduma za ugani nchini, utakaorahisisha utoaji huduma kipindi chote cha mwaka, huku akitaka ofisi zake za makao makuu ziwe Nanenane mkoani Dodoma. Sambamba na hilo, ametaka viwanja vya maonyesho ya Nanenane jijini Dodoma viitwe jina la Waziri Mkuu mstaafu, Samwel Malecela, kuenzi utumishi wake katika nafasi…