
Makamba ataja maeneo ya kuboresha mambo ya nje
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ametumia takribani saa moja kuelezea maeneo ambayo yatajajadiliwa katika warsha ya Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani inayofanyika katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere mjini Kibaha kuanzia tarehe 21 hadi 24 Aprili 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…