Tanzania, Nigeria kuvaana Kombe la Dunia Kriketi

UWANJA wa Dar es Salaam Gymkhana utashuhudia mechi ya ufunguzi ya kriketi kuwania kufuzu Kombe la Dunia kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 19 kati ya Tanzania na Nigeria, Agosti 2, mwaka huu. Hayo ni mashindano yanayoratibiwa na Chama cha Kriketi Duniani (ICC) na yatafanyika jijini Dar es Salaam ili kupata timu za…

Read More

Maagizo ya Bashungwa kwa Jeshi la Polisi

Dar es Salaam. Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa amemuelekeza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura kufanyia kazi mambo matatu kuelekea sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya. Mambo hayo yanahusu usalama barabarani, uhujumu wa miundombinu na ulinzi na usalama wa raia. Ametoa maelekezo hayo leo Desemba 18, 2024 katika hotuba kupitia vyombo…

Read More

Wahitimu 417 kutunikiwa vyetu ITA

  CHUO cha Kodi (ITA), kinatarajia kuwatunuku vyeti wahitimu 417, wa kozi mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2023/2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amesema wanatarajia kutunuku vyeti kwa wahitimu 417 wa kozi mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2023/2024. Hayo yamesema leo tarehe 20 Novemba 2024 na Mkuu wa Chuo hich,o Profesa Isaya…

Read More

Mwenyekiti Chadema Jimbo la Iringa afariki dunia

Iringa. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Iringa Mjini, Frank Nyalusi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Septemba 19, 2025. Nyalusi ambaye amewahi kuwa diwani Kata ya Mivinjeni, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa (2010 – 2020), amefariki duinia akipatiwa matibabu kwenye chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi wa karibu (ICU), kwenye Hospitali…

Read More

Mbowe, Lissu, Lema wakamatwa kwenye maandamano Dar

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata, Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Makamu wake, Tundu Lissu, Godbless Lema katika maandamano yaliyopangwa kufanyika leo jijini hapa. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Mbali na viongozi hao pia Polisi wamemkata ni Rhoda Kunchela, Mwenyekiti wa…

Read More

TAASISI ZA WIZARA YA UJENZI UNGUJA NA PEMBA ZAJENGEWA UWEZO WA KUANDAA BAJETI ZENYE USAWA WA KIJINSIA

 Taasisi zilizochini ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Unguja na Pemba zajengewa uwezo juu ya Namna ya Utayarishaji wa Bajeti zenye Vipaumbele vya Kijinsia katika Ukumbi wa ZMA Malindi. Akifungua Mafunzo hayo Afisa Mipango kutoka Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kwa niaba ya Mkurugenzi Mipango, Sera na Utafiti wa Wizara hiyo Zahra Nassor…

Read More