
Askofu Nyaisonga: Vijana msitumike kwenye uchaguzi
Mbeya. Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mbeya, Mhashamu Gervas Nyaisonga amekemea tabia ya baadhi ya vijana kutumika kwenye uchaguzi, matukio ya utekaji na mauaji ya watu wasio na hatia. Mbali na kauli hiyo amewataka vijana kuepuka kujiingiza kwenye biashara haramu, uraibu wa pombe na mmomonyoko wa maadili hususan kuelekea uchaguzi mkuu wa…