DK NCHIMBI: TUTAWAENZI WAASISI KWA KUENDELEZA UTUMISHI KWA WATU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amezuru kaburi la Hayati Mzee Constantine Osward Millinga, aliyekuwa mmoja wa waasisi na wapigania uhuru kuanzia wakati wa Tanganyika African Association (TAA), Tanganyika African National Union (TANU), hadi CCM, katika makaburi ya familia yaliyopo, Mtaa wa Mhekela, Mbinga Mjini, mkoani Ruvuma, leo Jumatatu,…

Read More

Benki ya NBC Yazindua Kampeni ya “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako” Kuchochea Ukuaji wa Biashara

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua kampeni mpya ya akiba inayofahamika kama “Shinda Mechi Zako Kinamna Yako” mahususi kwa wateja wake wa aina mbalimbali wakiwemo wateja binafsi, waajiriwa, wamiliki wa biashara ndogo na wanafunzi.  Ujio wa kampeni hiyo inayoambatana na zawadi mbalimbali ikiwemo zawadi za gari mbili aina ya BMW x1, unalenga kuimarisha ustawi…

Read More

Simba ilirahisisha ushindi wa Yanga Dabi

Ushindi wa mabao 2-1 ambao Yanga iliupata dhidi ya Simba katika dabi ya Kariakoo, Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, yanaweza kuwa matokeo yaliyorahisishwa kwa kiasi kikubwa na timu iliyopoteza mchezo huo. Hakikuwa kibarua kigumu kwa Yanga kupata ushindi katika mechi hiyo tofauti na uhalisia unaotakiwa wa timu kupaswa kufanya kazi ngumu kupata ushindi…

Read More

Wizi wa misalaba makaburini wawashitua Shinyanga

Shinyanga. Usemi wa “Kufa Kufaana” unakamilisha dhana ya kinachoendelea mjini Shinyanga kutokana na kukithiri kwa wizi wa misalaba kwenye makaburi. Wakati wananchi wakiomboleza kuwapoteza wapendwa wao na kuwasitiri vema kwa kujengea makaburi na kuweka misalaba juu yake kulingana na imani zao, watu wasiojulikana wamekuwa na ujasiri wa kuiba misalaba hiyo. Misalaba inayolengwa zaidi  ni ile…

Read More

Aucho ashindwa kujizuia kwa Kazi

KIPIGO cha pili mfululizo kwa Simba kutoka kwa watani wao wa Yanga, kunawapa wakati mgumu mabosi wa Msimbazi kwani kwa sasa wana kazi ngumu ya kurejesha tabasamu usoni mwa wanasimba kutokana na hali  ilivyokuwa kwa wachezaji, benchi la ufundi na mashabiki wa klabu hiyo baada ya dakika 90 za Kariakoo Dabi. Simba ilipoteza kwa mabao…

Read More

Agizo la Rais Samia latekelezwa, treni mwendokasi yaanza majaribio Dar – Dodoma

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Katika kutekeleza maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan, Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya treni ya mwendokasi inayotumia umeme kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuelekea hatua ya kuanza rasmi ifikapo mwishoni mwa Julai. Wakati akihutubia Taifa Desemba 31,2023 Rais Samia aliliekeleza TRC kuhakikisha linaanza rasmi safari za…

Read More