Mama Lishe Wapongeza Coca-Cola kwa Kusaidia Kuinua Biashara Zao Kupitia ‘Coca-Cola Food Fest’

Wafanyabiashara wa chakula maarufu kama ‘Mama Lishe’ wameeleza shukrani zao kwa Kampuni ya Coca-Cola kwa kuanzisha wazo bunifu kupitia tamasha la ‘Coca-Cola Food Fest’, ambalo limekuwa chachu ya kuboresha maisha yao kiuchumi. Akizungumza wakati wa tamasha hilo, Veronica Athanas, mmoja wa Mama Lishe, alisema, “Matamasha kama haya yanatupa fursa ya kujifunza na kuboresha biashara zetu,…

Read More

Dk Nchimbi ajiapiza kwa Rais Samia, Wanaruvuma

Nyasa. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekula ‘kiapo’ mbele ya wananchi wa Ruvuma kwamba atakuwa mwaminifu na mweledi kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan na kamwe:”Sitawaangusha, sitamuangusha.” Dk Nchimbi amesema Rais Samia amempa heshima kubwa yeye binafsi na wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kumpendekeza kisha mkutano mkuu wa CCM ukampitisha kuwa…

Read More