Haki za Binadamu zinaweza kuwa ‘lever nguvu ya maendeleo’ katika mabadiliko ya hali ya hewa, anasema mkuu wa haki za UN – maswala ya ulimwengu

Akiongea Baraza la Haki za Binadamu Huko Geneva, Kamishna Mkuu Volker Türk aliuliza nchi wanachama ikiwa inatosha kulinda watu kutokana na athari kubwa za mabadiliko ya hali ya hewa. “Je! Tunachukua hatua zinazohitajika kulinda watu kutoka kwa machafuko ya hali ya hewa, kulinda hatima yao na kusimamia rasilimali asili kwa njia ambazo zinaheshimu haki za…

Read More

FCC yatakiwa kujipanga na soko huru la Afrika

Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi John Simbachawene ameitaka Tume ya Ushindani (FCC) kuongeza udhibiti wa bidhaa bandia ili kuwalinda walaji hasa wakati huu ambao soko huru la biashara Afrika linaanzishwa. Pia, ameitaka kutoa elimu kwa wafanyabiashara wakubwa na wadogo ili waelewe kuhusu masuala ya bidhaa bandia na jinsi…

Read More

Mwanaharakati wa hali ya hewa ya Tajik anawasihi viongozi kujumuisha sauti za vijana katika mazungumzo – maswala ya ulimwengu

Mwisho wa Aprili, Fariza Dzhobirova alihudhuria mkutano wa Model United Mataifa juu ya utunzaji wa barafu katika mji mkuu wa Tajikistan, Dushanbe, ambapo aliwakilisha Uswizi. Kwa Bi Dzhobirova, ilikuwa mazoezi ya aina kwa kiwango halisi cha juuMkutano juu ya uhifadhi wa barafu ambao ulianza Alhamisi huko Dushanbe. Huko, atatumika kama mwanachama wa jopo anayewakilisha nchi…

Read More

Happy Birthday Clouds/asante kwa tafuu

Ni miaka 25 toka kuanzishwa kituo cha utangazaji wa radio ya watu CloudsFM ambayo ilikuwa ni December 2 lakini imeamuliwa kusherehekea leo hii ambapo Mkurugenzi Mkuu Joseph Kusaga amechagua kuwa mtangazaji wa Zamu aliyepita vipi tofauti tofauti na kuzungumza na watangzaji wa vipindi hivyo Hizi hapa ni picha za matukio tofauti tofauti kutoka Mjengoni Clouds…

Read More

TRA, ZBS kurahisisha shughuli za biashara Zanzibar

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Uhakika na usalama wa mizigo inayopitia Zanzibar sasa utaongezeka baada ya Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kuingia makubaliano na Shirika la Viwango Zanzibar (ZBS) kwa lengo la kurahisisha shughuli za biashara. Kauli hiyo imetolewa leo Novemba 5,2024 jijini Dar es Salaam na Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuf Mwenda, wakati wa…

Read More

Abiria mlevi ataka kujifanya rubani angani,ndege yalazimika kutua kwa dharura

Ndege ya easyJet kutoka shirika la ndege la uingereza, iliyokuwa ikielekea kwenye kisiwa cha Kos,nchini Ugiriki, ililazimika kutua kwa dharura Jumanne baada ya abiria mlevi kutaka kujifanya rubani angani. Tukio hilo lilitokea wakati ndege ilipokuwa angani kwenye urefu wa futi 30,000. Abiria huyo, ambaye alijaribu kufungua milango ya dharura na kupigana na wahudumu, aliharibu mawasiliano…

Read More

Wiliam Edgar hajatimiza malengo | Mwanaspoti

NYOTA wa Fountain Gate, Wiliam Edgar amesema pamoja na kufanikiwa kuibakisha timu Ligi Kuu, lakini malengo yake hayakutimia akitoa matumaini yake msimu ujao. Edgar ambaye alikuwa na kiwango bora kikosini hapo akitupia mabao sita, anakumbukwa kwa historia yake ya kuipandisha Mbeya Kwanza kucheza Ligi Kuu Bara 2022-2023 na kinara wa mabao Ligi ya Championship msimu…

Read More

OFISI ZENU ZISIWE CHANZO CHA MIGOGORO YA KIFAMILIA.

Na Issa Mwadangala. Polisi Kata ya Mwakakati Wilaya ya Momba Mkoani Songwe Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Robart Philipho amewataka wajasiliamali wanaofanya shughuli za ususi na mapambo kuacha tabia ya kuwa chanzo cha migogoro ya kifamilia. Mkaguzi Robert alitoa kauli hiyo Aprili 24, 2025 wakati akitoa elimu ya madhara ya migogoro katika jamii na familia ambapo…

Read More