
Unywaji pombe haramu bado tishio Kilimanjaro
Hai. Baadhi ya wananchi wa vijiji vinne vilivyopo Kata ya Narumu, Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wametajwa kuongoza kwa unywaji wa pombe haramu kupita kiasi, hasa katika saa za kazi, hali inayodaiwa kuchangia kuzorota kwa shughuli za maendeleo. Hayo yameelezwa na Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Blandina Mweta, Aprili 30, wakati akiwasilisha rasimu ya…