
ACT-Wazalendo yataka hatua za wazi waliotajwa ripoti ya CAG
Dar es Salaam. Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka hatua za wazi kuchukuliwa kwa wote waliotajwa kuhusika katika ubadhirifu na kuisababishia Serikali hasara kama ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ilivyoeleza. Pasipo kufanya hivyo, imeelezwa wananchi wataona ripoti ya CAG hutolewa kila mwaka kwa kutimiza wajibu na si kwa ajili ya kufunua…