Mtoko wa KenGold twenzetu Ligi Kuu Bara
WAKATI Ken Gold ikishuka uwanjani leo Jumapili dhidi ya FGA Talents, Jiji la Mbeya litasimama kwa muda kushangilia historia ya mafanikio kwa timu hiyo kupanda Ligi Kuu. Hii ni baada ya kudumu misimu minne mfululizo wakiisaka ladha ya Ligi Kuu bila mafanikio, lakini hatimaye ndoto imetimia ambapo wadau na mashabiki wa soka itakuwa ni furaha…