DORIS MOLLEL, ORYX GAS KUTOA NISHATI SAFI KWA WAUGUZI 1000 – MWANAHARAKATI MZALENDO
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KAMPUNI ya Oryx Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation wamekabidhi mitungiya gesi ya kupikia ya Oryx 50 kwa wauguzi katika Hospitali ya Rufaa yaMwananyamala jijini Dar es Salaam kati ya mitungi 1000 inayotarajiwakukabidhiwa kwa wauguzi na madaktari katika mikoa 10 nchini . Akizungumzawakati wakisaini makubaliano ya ushirikiano yaliyofanyika katikahospitali…