
Aussems awekwa kando Singida BS, Gamondi atajwa
Klabu ya Singida Black Stars imewasimamisha makocha wake wawili, Patrick Aussems na msaidizi wake Dennis Kitambi kutokana na matokeo mabaya, huku ikidaiwa kumwania Miguel Gamondi aliyeachana na Yanga hivi karibuni. Leo asubuhi Singida ilitoka sare ya mabao 2-2 na Tabora United kwenye Uwanja wa Al Hassan Mwinyi, mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ulitarajiwa kupigwa…