
DK FARAJA KRISTOMUS AELEZA MCHANGO WA MSHAHARA MDOGO NA MADEREVA KATIKA RUSHWA BARABARANI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Katika mjadala wa Mwananchi X Space ulioandaliwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Dk Faraja Kristomus, mchambuzi wa masuala ya kijamii, alieleza kuwa sio askari pekee bali pia madereva wanachangia kuendeleza vitendo vya rushwa barabarani. Dk Kristomus alisisitiza umuhimu wa kuchunguza mchango wa pande zote mbili katika suala hili. “Mara nyingi tunawalaumu askari kwa…