
‘Fanyeni utafiti ughaibuni kujifunza mambo mapya’
Iringa. Mwenyekiti wa Chama cha Historia Tanzania na Mdhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Maxmilian Chuhula amesema ipo haja kwa wasomi wa vyuo vikuu kufanya utafiti nje ya nchi, ili mbali ya kuongeza maarifa, wajifunze tabia na desturi mataifa mengine. Amesema ni rahisi wasomi hao kuja na maandiko yatakayosaidia kuikomboa jamii…