
HALMASHAURI WEKENI MIKAKATI YA KUTOKOMEZA MALARIA- DKT. JAFO
Na Shikunzi Oscar Waziri wa Viwanda na Biashara Selemani Jafo amezishauri halmashauri zote nchini kuweka mkakati wa kununuaa dawa za viluwiluwi inayozalishwa na kiwanda cha TBPL kilichopo Kibaha Mkoani Pwani ili kuuwa mazalia ya mbu na kusaidia kutokomeza kabisa ugonjwa wa malaria ambao umekuwa tishio kwa kupelekea watu kupoteza maisha. Ushauri huo ameutoa leo Julai…