
Mazungumzo kati ya jeshi na wanamgambo wa Sudan yaanza – DW – 11.07.2024
Mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya jeshi la Sudan na vikosi vya wanamgambo wa (RSF) yameanza Geneva, Uswisi, yakituama juu ya masuala ya misaada ya kibinadamu. Haya yanajiri huku shirika la msalaba mwekundu likitangaza kwamba sehemu kubwa ya Sudan iliyokumbwa na vita haiwezi kufikiwa na wafanyakazi wa misaada ya kiutu. Tovuti binafsi ya…