Tatizo la afya ya akili lilivyogusa Watanzania 2025
Dar es Salaam. Mwaka 2025 umeweka wazi jeraha lisiloonekana, lakini lenye maumivu makali la afya ya akili miongoni mwa Watanzania. Katika kipindi cha mwaka huu, kumeshuhudiwa ongezeko la matukio ya msongo wa mawazo, sonona, wasiwasi mkubwa na tabia za kujidhuru. Makundi yaliyoathirika zaidi ni vijana na wanafunzi, wafanyakazi wa mijini, pamoja na wanawake wanaobeba mzigo…