
Mambo saba usiyopaswa kufanya baada ya kula
Dar es Salaam. Chakula ni muhimu kwa afya njema na kuna misingi inatakiwa kufuatwa ili kuepukana na madhara yatakayosababishwa baada ya kula chakula. Wataalamu wanaelezea mambo saba ya kuzingatia baada ya kula chakula ili kuepuka muingiliano wa virutubisho vinavyopatikana kwenye chakula na changamoto zinazoweza kusababisha maradhi. Daktari wa binadamu, Erick Shayo anasema Watanzania hawana utamaduni…