


DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
Na Benny Mwaipaja, Dodoma Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani katika maendeleo ya nchi kupitia miradi na program mbalimbali zinazofadhiliwa na nchi hiyo, ukiwemo Mkataba wa Msaada wa dola za Marekani bilioni 1.14, uliosainiwa hivi karibuni kwa ajili kuendeleza sekta mbalimbali….

Kikwete asimulia Msuya alivyoshiriki mageuzi ya kiuchumi Tanzania
Mwanga. Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete ameeleza namna aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, Cleopa Msuya alivyosimama kidete na kuchangia kwa kiasi kikubwa mageuzi ya kiuchumi nchini. Kikwete ametoa simulizi hiyo leo, Mei 13, 2025, wakati wa ibada ya mazishi ya hayati Cleopa Msuya iliyofanyika katika Usharika wa Usangi,…

Wageni 4 wapewa vitambulisho vya maakazi baada ya kukidhi vigezo vya kuishi Zanzibar
Mamlaka ya uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi raiya wa kigeni wanne vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya Dola laki moja kupewa vitambulisho hivyo vya maakazi Serikali ya Zanzibar ilipendekeza sharti hilo kama kivutio kwa wageni…

ONESHO LA JAPAN ‘I LOVE SUSHI’ LAZINDULIWA RASMI MAKUMBUSHO YA TAIFA
………………… Onesho liitwalo ‘I Love Sushi’ lililoandaliwa na Ubalozi wa Japan nchini kwenye Makumbusho ya Taifa la Tanzania katika Kituo cha Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni jijini Dar es Salaam limezinduliwa na Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana, Waziri wa Maliasili na Utalii, leo tarehe 19 Septemba 2025. Onesho hilo limelenga kuonesha ustadi wa safari ya…

Sheria ya habari yatua kwa Mwanasheria Mkuu Z’bar
Unguja. Wakati wadau wa habari wakishinikiza Serikali kukamilisha mchakato wa sheria ya huduma za vyombo vya habari, yenyewe imesema umefikia hatua nzuri na umefika kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na wakati wowote utafika Katika Baraza la Wawakilishi kujadiliwa. Hayo yamebainika wakati wa maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari mwaka 2024 ambapo…

Yanga SC yajifungia na Sowah Dar
WAKATI Yanga ikianza maisha mapya bila kiungo mshambuliaji, Stephane Aziz KI anayedaiwa anajidaa kwenda Wydad Casablanca ya Morocco, mabosi wa klabu hiyo wamepiga hesabu kali za kuboresha kikosi hicho kwa msimu ujao na fasta wamekutana kwa siri na mshambuliaji Jonathan Sowah kisha kuweka sawa dili la Mghana huyo kusaini. Kuna asilimia zaidi ya 85 Sowah…

62 mbaroni kwa tuhuma za wizi, uhamiaji haramu Shinyanga
Shinyanga. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewakamata watu 62 wakiwamo raia saba wa Burundi kwa kuingia nchini bila kibali huku 55 wakituhumiwa kuhusika na wizi wa vitu mbalimbali. Hayo yamesemwa leo Jumanne Novemba 26, 2024 na Kamanda wa Polisi mkoani humo, Janeth Magomi wakati akizungumza na waandishi wa habari. Amesema wahamiaji haramu watatu walikamatwa…

Vituo vya kulelea watoto vina sifa?
Katika kipindi cha maendeleo ya awali ya mtoto, elimu kwa watoto wadogo wenye umri wa miaka 0-2 ni muhimu. Katika hatua hii, mtoto anajenga misingi ya kukua kihisia, kujenga lugha, na kujiendeleza kijamii, ambapo mara nyingi stadi hizi hupatikana katika mazingira ya nyumbani chini ya usimamizi wa wazazi na walezi. Hata hivyo, ukatili dhidi ya…

Geita Gold hali tete Ligi Kuu
WACHIMBA Dhahabu wa Geita, Geita Gold, wameendelea kujiweka pabaya katika Ligi Kuu Bara baada ya leo kufumuliwa mabao 2-1 na Singida Fountain Gate kwenye Uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza na sasa watalazimika kushinda mechi ya Jumanne mbele ya Azam iwapo hawataki kushuka daraja moja kwa moja. Geita ipo nafasi ya pili kutoka mkiani ikiwa na…