
WAZALISHAJI WA VYAKULA VYA MIFUGO WAASWA KUZINGATIA UBORA
Wazalishaji wa vyakula vya Mifugo nchini wameaswa kuzingatia ubora wanapozalisha vyakula vya Mifugo ili kulinda afya za watumiaji wa mazao yatokanayo na Mifugo, kuongeza ustawi wa Mifugo, kuongezeka kwa uzalishaji Mifugo pamoja na kukuza vipato vya wafugaji. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Huduma Saidizi wa Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA) Bw. Furaha Kabuje…