Rostam Aziz: Mchakato mpya wa CCM ni wa haki zaidi

Dar es Salaam. Kada nguli wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mfanyabiashara maarufu, Rostam Aziz amepongeza mchakato mpya wa chama hicho katika kupitisha wagombea wa ubunge akisema unatoa nafasi ya haki na uwazi kwa watiania. Akizungumza leo, Jumapili Agosti 3, 2025 jijini Dar es Salaam katika mahojiano maalumu, Rostam amesema amewahi kupitia michakato mingi ya…

Read More

Gambo Jr: Azam FC ikaombe msamaha ilikokosea

MDAU wa soka nchini, Hosea Gambo Paul ‘Gambo Jr’ amesema kama kuna sehemu Azam FC ilikosea ni vyema ikaenda kuomba msamaha kutokana na kushindwa kufanya vyema katika michuano ya kimataifa, kwani ni klabu iliyokamilika kwa kila kitu. Gambo ameyabainisha hayo leo Agosti 28, 2024 wakati anachangia mada kwenye mjadala unaoendeshwa na Mwananchi X Space unaohoji…

Read More

Wanafunzi wataka pedi ziondolewe kodi, zitolewe bure shuleni

Dar es Salaam. Katika kuelekea maadhimisho ya Siku ya Hedhi Salama Duniani Mei 28 mwaka huu, wasichana kutoka shule mbalimbali za msingi na sekondari nchini wametoa mapendekezo manne ikiwamo kuiomba Serikali kuondoa kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika taulo za kike (Sodo). Pendekezo lingine ni ugawaji wa pedi bure kwa wasichana wote walioko shuleni…

Read More

Profesa Mkenda awapa kibarua hiki watafiti

Dar es Salaam. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema ni muhimu kufanya utafiti wa kisayansi kusaidia kukwamua changamoto za uzalishaji sekta mbalimbali ikiwemo elimu na kilimo, kwa lengo la kuchochea ustawi endelevu wa maendeleo kiuchumi. Amesema hayo jana Julai 10, 2024 jijini Dar es Salaam wakati akizungumza katika ufunguzi wa mkutano…

Read More

Get Program yamrejesha Miraji WPL

Get Program inayoshiriki Ligi ya Wanawake (WPL) imempa mkataba wa mwaka mmoja aliyewahi kuwa kocha wa Ceasiaa Queens, Miraji Fundi. Fundi alikuwa miongoni mwa makocha watatu waliopita Ceasiaa kwenye mzunguko wa kwanza wa ligi akiwemo Petro Mrope na Shabani Said kabla ya Ezekiel Chobanka kupewa kandarasi ya kuiongoza timu hiyo. Chanzo kutoka Get Program kililiambia…

Read More

Viunzi vinne kocha mpya Simba SC

Simba ipo kwenye mazungumzo ya mwisho na Kocha Steve Komphela (56) kutoka Afrika Kusini ili arithi mikoba ya iliyoachwa na Mualgeria Abdelhack Benchikha siku chache kabla ya msimu kumalizika. Kama kila kitu kitaenda sawa basi Komphela atatambulishwa kuwa kocha mkuu wa Simba kwa msimu ujao wa 2024/2025, licha ya kwamba anapingwa na baadhi ya viongozi…

Read More

Mlionunua tiketi za Dabi ujumbe wenu huu hapa

WAKATI mchezo wa Kariakoo Dabi ukiahirishwa, huku mashabiki wakiwa tayari wamekata tiketi swali lililopo ni watarudishiwa fedha zao au ndiyo wamepata hasara? Kufuatia maswali kuwa mengi nini kitafanyika, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ametoa ujumbe uwafikie wale wote waliokata tiketi mapema akisema mfumo wa ununuaji ulisitishwa mchana, lakini wahusika wala wasiwe…

Read More

MAREMA KUFANYA ZIARA KWENYE MATAWI

Na Mwandishi wetu, Mirerani CHAMA cha wachimbaji madini Mkoa wa Manyara (MAREMA) kimepanga kuanza ziara ya kutembelea matawi yake saba kwa ajili ya kusikiliza kero, changamoto na mafanikio waliyonayo. Mwenyekiti wa MAREMA Elisha Nelson Mnyawi ameyasema hayo kwenye kikao cha kamati tendaji ya MAREMA, kilichofanyika katika ofisi za makao makuu yake yaliyopo mji mdogo wa…

Read More