
Msigwa akabidhiwa fomu, asema hana nia kugombea uongozi Chadema Taifa
Iringa. Hatimaye mgombea wa nafasi ya uenyekiti Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa amekabidhiwa fomu ya kuwania nafasi hiyo. Wanawake wa Chadema Mkoa wa Iringa waliamua kwenda Jijini Mbeya kumchukulia fomu Mchungaji Msigwa wakitaka agombee nafasi hiyo anayochuana na Joseph Mbilinyi maarufu Sugu amabye ni mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini. Jana, Aprili 17, 2024…