
Miloud hataki kilichoikuta Simba | Mwanaspoti
Katika kuhakikisha kikosi chake kinaendelea kukaa kileleni kwa msimamo wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga, Hamdi Miloud amesema wamekuja Mwanza kwa ajili ya kushinda na kupata alama tatu na sio matokeo mengine yoyote ambayo yatawapunguza kasi. Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu ikiwa na alama 55 katika mechi 21 ipo jijini Mwanza…