
Waajiri wapigwa stop kukata watumishi kodi ya pango
Dar es Salaam. Wabunge leo Juni 9, 2025 wamepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wa mwaka 2025, wakati wa kikao cha 42 cha mkutano wa 19 wa Bunge la Bajeti jijini Dodoma. Muswada huo umefanyiwa marekebisho mbalimbali ikiwemo vifungu vya 12 na 13 vilipendekezwa kurekebishwa kwa lengo la…