
Zaidi ya wakazi million 1.4 wa mkoa wa Tanga Wanatarajiwa kuandikishwa katika daftari la kudumu la mpiga kura
Raisa Said, Tanga Zaidi ya wakazi million 1.4 wa Mkoa wa Tanga wanatarajiwa kujiandikisha katika zoezi la uandikishaji wa daftari la kudumu la mpiga kura linaloanza rasmi oktoba 11 hadi oktoba 20 nchini kote Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Tanga Balozi Batilda Buriani wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake wakati akizindua…