
Sh38 bilioni kuwanufaisha wakulima wadogo nyanda za juu kusini
Pwani. Wafadhili kutoka Canada, wametoa Sh38 bilioni kusaidia shughuli za kilimo nchini kuhimili athari za mabadiliko ya tabianchi. Makali ya mabadiliko ya tabianchi yameendelea kuumiza vichwa vya mataifa tajiri duniani yanayotafuta suluhu na kuwezesha nchi zinazoendelea katika kupambana na hali hiyo. Hata hivyo, mabadiliko ya tabia nchi yanagusa nchi zote na kwa Tanzania katika kilimo…