KUCHEZA POOL TABLE MASAA YA KAZI NI KOSA KISHERIA.

Vijana wa Kijiji cha Ndolezi Kata ya Mlangali Tarafa ya Iyula Wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe wametakiwa kuacha tabia ya kucheza mchezo wa pool table nyakati za asubuhi wakati muda huo wanapaswa kufanya shughuli rasmi za kujiingizia kipato kwa maendelo yao na taifa kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa Januari 14, 2025 na Polisi Kata ya…

Read More

Gusa achia yaitisha TP Mazembe

MSAFARA wa TP Mazembe unatua leo nchini tayari  kukutana na Yanga katika mchezo ambao kila timu inataka kuweka hesabu sawa kufufua matumaini ya kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini Wakongomani hao kuna chabo wameipiga na kuwashtua. Baada ya kutambua ina ratiba ya kukutana na Yanga, mabosi wa Mazembe walituma mashushushu ili kupiga…

Read More

Ushindi wampa jeuri Kaseja | Mwanaspoti

USHINDI mtamu buana. Baada ya kuiongoza Kagera Sugar katika mechi mbili za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho na zote kuibuka na ushindi, kocha mkuu wa Kagera, Juma Kaseka ametamba kwamba ameanza kuona mwanga na morali imeongezeka zaidi kwa wachezaji wa timu hiyo. Kaseja alikabidhiwa mikoba iliyoachwa wazi na Melis Medo aliyetimkia Singida Black…

Read More

Gamondi, Nabi kuna ubabe unafikirisha | Mwanaspoti

HAKUNA ubishi juu ya kiwango bora kilichoonyeshwa na Yanga msimu huu na kufanikiwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ambao umechagizwa na wachezaji mbalimbali katika kikosi hicho akiwemo Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, aliyerithi mikoba ya Nasrreddine Nabi aliyetimka baada ya msimu uliopita kumalizika. Gamondi, raia wa Argentina huu ni msimu wake wa kwanza kuifundisha Yanga na…

Read More

Ahoua ataweza kuivunja rekodi ya Kagere?

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua anaongoza orodha ya wafungaji wa Ligi Kuu Bara akiwa na mabao 12, huku timu hiyo ikisaliwa na mechi nane kufunga msimu na kuwa na kibarua kizito cha kuifikia rekodi iliyowahi kuwekwa na Meddie Kagere akiwa anaitumikia timu hiyo. Kagere aliandika rekodi ya kuwa nyota wa kigeni aliyefunga mabao…

Read More

Maswali matano mwisho wa Inonga Simba

MKATABA wa beki wa Simba, Henock Inonga unamalizika mwisho wa msimu huu. Tayari ameshaitumikia Simba misimu miwili na kuonyesha kiwango bora ingawa kimekuwa kikilalamikiwa na mashabiki wa siku za karibuni. Beki huyo wa zamani wa FC Renaissance na DC Motema Pembe za DR Congo amekuwa akihusishwa pia na timu mbalimbali zikiwamo za Afrika Kaskazini hasa…

Read More