Fanya haya kuukwepa ugonjwa wa presha
Dar es Salaam. Ugonjwa wa presha, unaojulikana pia kama shinikizo la damu, ni miongoni mwa magonjwa yanayojenga hatari kubwa kwa afya ya moyo na mishipa. Wataalamu wanasema kuwa presha ya juu mara nyingi haina dalili za haraka, hivyo wengi huishia kugundua wakiwa tayari wameshajikuta kwenye hatari kubwa ya mashambulizi ya moyo au kiharusi. Hata hivyo,…