
Dawa kuzuia maambukizi VVU sasa rasmi
Dar es Salaam. Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha sindano ya lenacapavir kwa ajili ya kinga dhidi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), hatua ambayo imepongezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Hatua ya FDA inafuatia matokeo yaliyoonyesha matumaini katika majaribio mawili ya awali (Purpose 1 na 2) yaliyofanyika mwaka 2024. Majaribio…